LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 21, 2024

UWT DODOMA WALAANI VIKALI VITENDO VYA MAUAJI NA UBAKAJI

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UW)  Mkoa wa Dodoma, Dk. Neema Majule (katikati), akizungumza na vyombo vya habari jijini Dodoma Septemba 21, 2024 kutoa tamko la kulaani vikali matukio ya kikatili yanayoendelea mkoani humo kwa takribani wiki tatu mfululizo. wengine ni wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT wa mkoa huo, Dayana Ngurumo (kulia) na Beatrice Hamisi.
Dk. Majule akiwa na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji UWT Mkoa wa Dodoma. Kutoka kushoto ni; Emma Mtuli, Beatrice Hamisi, Dayana Ngulumo na Elizabeth Malamla.

 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages