LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 15, 2024

TUVUMILIANE NA KUHESHIMIANA KAMA WATANZANIA - DKT. BITEKO


 Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Dotto Biteko (wa pili kushoto) akiwa na viongozi wengine katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa.

đź“Ś Mamia ya Wakatoliki Wamiminika Uwanja wa Uhuru Kongamano la Ekaristi Takatifu

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu.

Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa lililofanyika katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaaam.









 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages