LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 26, 2024

MAMBO YALIVYOKUWA MKUTANO WA RAIS SAMIA TUNDURU

Mmoja wa wananchi akishangilia kwa furaha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika uwanja wa CCM wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika uwanja wa CCM wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma tarehe 26 Septemba 2024.
Sehemu ya umati wa wananchi waliofika kumsikiliza Rais Samia.



 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages