LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 8, 2024

KOMREDI MONGELLA ATUA USHETU

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, John Mongella, akizungumza na viongozi wa chama na jumuiya ngazi ya Kata na Matawi, mabalozi, wazee maarufu, na viongozi wa kimila katika Kata ya Bulungwa, Halmashauri ya Ushetu mkoani Shinyanga, leo Septemba 8, 2024. 

Mongella anaendelea na ziara yake ya siku saba mkoani Shinyanga yenye lengo la kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM ya 2020-2024, kuimarisha uhai wa chama sambamba na kujitambulisha.












 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages