LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 18, 2024

KIKWETE ATOA SOMO KWA MAWAZIRI CHUO KIKUU CHA HARVARD MAREKANI

 

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho, yuko mjini Boston, Marekani ambapo anashiriki katika kutoa mafunzo kwa Mawaziri wa Afya na Elimu kutoka nchi mbalimbali zinazoendelea kupitia Mpango wa Uongozi wa Harvard  (Harvard Ministerial Leadership Program)  inayoendeshwa na Chuo Kikuu cha Harvard. Mheshimiwa Dkt. Kikwete ni mmoja wa Viongozi Wakuu wa Kitaifa Wastaafu wanoshiriki kutoa mafunzo hayo.


Akiwa Boston, Mheshimiwa Dkt. Kikwete amekutana na baadhi ya wanafunzi Watanzania wanaosoma hatua mbalimbali za elimu hapo katika Chuo Kikuu cha Harvard.



Picha na Ofisi ya Rais  Mstaafu






 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages