LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 28, 2024

SERIKALI ITATEKELEZA MAAGIZO YA BUNGE KUHUSU MGOGORO WA MALONJE-WAZIRI LUKUVI




 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, William Lukuvi, akizungumza kwa niaba ya Serikali kwamba itatekeleza maazimio ya Bunge kuhusu uchunguzi uliofanywa na Kamati Maalumu ya Bunge juu ya mgogoro wa Mwekezaji wa mashamba ya Malonje na Wananchi wa vijiji vinavyozunguka shamba hilo wilayani Sumbawanga, Rukwa.


Ripoti hiyo imewasilishwa bungeni Dodoma na Mwenyekiti wa kamati hiyo, Profesa Shukrani Manya Agosti 27, 2024.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages