LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 7, 2024

NGARA WAMPONGEZA RAIS SAMIA, DK NCHIMBI


Wananchi waa Ngara wakielezea kwa furaha ujio wa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mpinduzi (CCM), Dk. Emmanuel Nchimbi ambaye amewezesha zaidi  kero zao 50 kutatuliwa pamoja na kuihimiza serikali kukamilisha haraka baadhi ya miradi inayosuasua. Pia wametoa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka fedha nyingi za miradi mingi ya maendeleo wilayani humo.

Wametoa pongezi hizo katika mahojiano maalumu na mtandao huu wakati wa mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Dk Nchimbi mjini Ngara Agosti 7, 2024.



IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages