Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Maabara Kuu ya Kilimo eneo la Mji wa Serikali Mkoani Dodoma, leo Agosti 8, 2024.
Katika jengo hilo ambalo ujenzi wake unagharimu zaidi ya sh. Bilioni 16, litakuwa la orofa nne na ndani yake zitakuwepo maabara takribani 14 ambazo zitawawezesha wataalamu na watafiti Nchini kufanya tafiti.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇