Makada wa Chgama Cha Mapinduzi (CCM) wakishangilia baada ya kunogewa na hotuba ya Katibu Mkuu wa chama hicho, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi katika mkutano wa ndani wa viongozi wa CCM mkoa wa Mwanza kwenye Ukumbi wa Kwa Tunza jijini Mwanza.
Dk. Nchimbi akitoa somo kwa viongozi hao.
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akitoa neno katika mkutano huo.
Katibu wa Oganaizesheni, Issa Ussi Haji (Gavu)Katibu wa Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Rabia Abdallah Hamid akitoa somo
Gavu na Rabia wakifurahia jambo.
Baadhi ya viongozi miongoni mwao wakiwemo mabalozi wakiwa katika mkutano huo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇