Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akishiriki ratiba mbalimbali za uzinduzi rasmi wa mradi wa kimkakati wa treni ya umeme (SGR), kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma, kupitia Morogoro, uliofanywa na Mgeni Rasmi, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM, leo Alhamis, Agosti 1, 2024. Shughuli ya uzinduzi rasmi ilihusisha pia Mgeni Rasmi Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika vituo vya treni hiyo kumlaki na kumsikiliza wakati akisafiri na treni hiyo kutoka Dar Es Salaam hadi Dodoma.
Your Ad Spot
Aug 1, 2024
BALOZI DK NCHIMBI ASHIRIKI UZINDUZI WA TRENI YA UMEME DAR= DODOMA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot











No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇