LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 11, 2024

RAIS SAMIA AMUAPISHA MKURUGENZI MPYA WA USALAMA WA TAIFA


 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimuapisha Bw. Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Julai, 2024.


Rais Samia Suluhu Hassan amemteua na kumwapisha Suleiman Abubakar Mombo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa, akichukua nafasi ya Balozi Ali Siwa ambaye amestaafu.

Kabla ya uteuzi huo, Mombo alikuwa Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Ikulu. 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages