Katibu wa Oganaizesheni wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Issa Haji Gavu akiwahamasisha wana CCM kujitokeza kwa wingi kuhakiki taarifa zao na wengine kujiandisha katika daftari la kudumu la wapiga kura ili chama hicho kipate ushindi wa kutosha. Ameyasema hayo alipokuwa akihutubia katika mkutano wa hadhara mjini Mtwara Julai 28, 2024.IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇