LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 16, 2024

CPA MAKALLA ATINGA KINONDONI

 Katibu wa NEC Itikadi,Siasa,Uenezi  na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu CPA. AMOS MAKALLA amepokelewa rasmi katika wilaya ya Kinondoni ofisi CCM Wilaya ya Kinondoni na baada ya kupokelewa akaenda kutembelea na kukagua mradi wa maendelea wa kituo cha afya cha Nyakasangwe  kilichopo  Kata ya Wazo.













 


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 075426420

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages