LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 10, 2024

ZEELAND ANG'AKA BUNGENI AITAKA SERIKALI IELEZE UKWELI UJENZI BARABARA YA TURIANI-MZIHA

                                             


 Mbunge wa Mvomero, Jonas Van Zeeland, ameibana serikali bungeni Dodoma Juni 10, 2024, kwamba ni lini ujenzi kwa kiwango cha lami wa Barabara ya Turiani, Mziha hadi Handeni utakamilika?

IMEANDALIWA NA 
RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages