LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 17, 2024

VIONGOZI WA UWT KATAVI WATINGA BUNGENI KWA MWALIKO WA MBUNGE MBOGO

Spika wa Bunge, Dkt Tulia Ackson (aliyevaa gauni la kijani) akiwa na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Mkoa wa Katavi walioalikwa hivi karibuni bungeni na Mbunge wa Viti Maalum wa mkoa huo, Taska Mbogo (kulia kwa spika).
Bofya hapa uone wanavyotambulishwa



Wakitambulishwa wakati wa kikao cha Bunge.
Wakifuatilia mwenendo wa Bunge.






IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages