LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 26, 2024

RAIS SAMIA ATOA MADA YA FALSAFA YA 4Rs KATIKA CHUO CHA TAIFA CHA ULINZI KUNDUCHI



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wanadhimu Waandamizi Waelekezi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita. Mhadhara huo umefanyika katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024. Falsafa yake ya R4 ni: Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya).
[6/26, 5:43 PM] Tinnah Maelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokelewa kwa heshima na Mkuu wa Chuo cha Ulinzi wa Taifa (NDC) Meja Jenerali Wilbert Augustin Ibuge mara baada ya kuwasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
[6/26, 5:43 PM] Tinnah Maelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wanadhimu Waandamizi Waelekezi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
[6/26, 5:43 PM] Tinnah Maelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024.
[6/26, 5:43 PM] Tinnah Maelezo: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Mhadhara wenye Mada ya Falsafa ya R Nne (4Rs) ambayo anaitumia katika kuongoza Serikali ya Awamu ya Sita. Mhadhara huo umefanyika katika Chuo Cha Taifa Cha Ulinzi (NDC), Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 26, Juni 2024. Falsafa yake ya R4 ni: Reconciliation (Maridhiano), Resilience (Ustahimilivu), Reforms (Mageuzi) and Rebuilding (Kujenga upya).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages