LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 13, 2024

NJEZA: MALIZENI HARAKA MGOGORO BAINA YA TANAPA, WANANCHI MBEYA VIJIJINI

                  


Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza, amemtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, kwenda kusuluhisha haraka mgogoro uliopo katika wananchi na TANAPA Kitulo TFS katika Kata za Ilungu, Igoma na Inyala.

Ameyasema hayo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Juni 12, 2024.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages