LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 28, 2024

MWENYEKITI WA CCM IGUNGA AWATAKA WAFUGAJI KUCHANGAMKIA MIKOPO

NA VICTOR MAKINDA, IGUNGA TABORA

Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Igunga, Mafunda Temanya, alizungumza kwenye mkutano wa wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya hiyo mchana huu.

Mwenyekiti wa CC Wilaya ya Igunga,mkoani Tabora, Mafunda Temanywa amewataka wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM wilaya hiyo kuwahamasisha wafugaji walio sajiliwa kuchangamkia mikopo ta wafugaji iliyoanza kutolewa nchi nzima.

Amewataka kuwaeleza wafugaji kutoa taarifa sahihi za mali zao kwa ajili ya kurahisisha utolewaji wa mikopo hiyo.

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages