Na Victor Makinda, Igunga
 |
| Katibu wa CCM wilaya ya Igunga, Ebenezer Mainoya alizungumza kwenye ufunguzi wa kikao hicho. |
 |
| Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Igunga, Mafunda Temanywa akifungua kikao hicho kwenyw ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Igunga mkoani Tabora leo. |
 |
| Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Igunga, Joseph Mafuru akifafanua jambo kwenye kikao cha uwasilishaji wa ilani ya CCM kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya wilaya. |
 |
| Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Igunga, Afisa tarafa ya Igunga, Saimon Marando, akiwasilisha taarifa ya utekelezaji wa ilani ya CCM kwa wajumbe wa Halmashauri kuu ya wilaya ya Igunga. |
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇