LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 4, 2024

MAGESSA ATAKA CHUO CHA VETA BUSANDA


Mbunge wa Busanda, Tumaini Magessa amehoji bungeni Dodoma Juni 4, 2024,  kwamba lini serikali itajenga VETA kwa kuzingatia wingi wa watu kwenye majimbo bila kujali ni wilaya au mkoa?

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages