LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 9, 2024

DK NCHIMBI AHITIMISHA ZIARA KWA KISHINDO TANGA

 


 Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi, leo Juni 08, 2024 amehitimisha Ziara yake ya mikoa Mitano kwa Kuzungumza na Wananchi Jijini Tanga kupitia mkutano wa hadhara ambao umefanyika katika Viwanja vya Lamore. 


Katika ziara hiyo Katibu Mkuu wa CCM ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), Oganaizesheni, Ndugu Issa Usi Haji Gavu, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla na Ndugu Rabia Hamid Abdalla, Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (SUKI).

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages