LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jun 21, 2024

CRDB YADHAMINI BUNGE BONANZA

 

Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano, Tully Mwambapa akimkabidhi vifaa mbalimbali vya michezo,  Mwenyekiti wa Bunge Bonanza, Festo Sanga kwa ajili ya bonanza la michezao mbalimbali litakalofanyika kwnye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma. Bonanza hilo limedhaminiwa na Benki ya CRDB.Hafla hiyo imefanyika jijini Dodoma Juni 21, 2024.








 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages