Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt Ashatu Kijaji akizungumza wakati wa semina kwa wabunge kuhusu utendaji wa Shirika la Viwango Tganzania (TBS) na Wakala wa Biashara na Leseni (BRELA) iliyofunguliwa na Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu (kulia) kwenye Ukumbi wa Msekwa bungeni Dodoma Mei 20, 2024.
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu akifungua semina hiyo.
Kaimu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Kilimo, Dkt Medard Kalemani akiongoza semina hiyo.
Mbunge wa Mchinga, Mama Salma Kikwete akiwa na Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango TGanzania (TBS), Dkt Yusuph Ngenya akielezea kuhusu utendaji wa shirika hilo.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Biashara na Leseni, Godfrey Nyaisa akitelezea mbele ya wabunge kuhusu utendaji wa wakala hiyo.
Mbunge wa Lupa, Masache Kasaka na Agnes Hokololo
Wabunge wakiwa kwenye semina hiyo.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇