LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 30, 2024

TAMISEMI YATANGAZA WATAKAKOSOMA WANAFUNZI KIDATO CHA TANO NA VYUO VYA KATI 2024

Wahitimu 188,787 kati ya 197,426 waliofaulu mitihani ya kidato cha nne, wamechaguliwa kujiunga na masomo ya kidato cha tano au vyuo mbalimbali vya kati kwa mwaka 2024.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) Mohammed Mchengerwa amesema hayo wakati akitangaza uchaguzi wa wananfunzi hao.

BOFYA HAPA



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages