Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kilimanjaro, ameishauri serikali vijana wanaojiunga kwenye miradi ya BBT wawe wanaenda Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kupata mafunzo mbalimbali likiwemo la uzalendo.
Ametoa ushauri huo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka wa fedha wa 2024/2025 bungeni Dodoma Mei 14, 2024.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇