Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akilakiwa na Wanajeshi wa Ufaransa, alipokuwa akiwasili Ikulu ya Paris nchini
humo jana, Mei 14, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron, baada ya mazungumzo yao katika Ikulu ya Paris nchini humo, jana Mei 14, 2024. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki January Makamba na kulia, Waziri wa Nchi anayeshughulikia Maendeleo ya Kitaifa ya Ufaransa Dk. Chrysoula Zacharopoulou wakiwa wameshikaTamko la Paris katika kuimarisha ushirikiano wa Kidiplomasia na Kiuchumi baina ya nchi mbili.



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇