LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 28, 2024

NAIBU WAZIRI KASEKENYA AKAGUA MAONESHO YA WIZARA YA UJENZI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya (kulia) akizungumza jambo na watumishi wa wizara hiyo Kanda ya Kati alipotembelea mabanda ya taasisi za wizara hiyo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Mei 28, 2024.
Naibu Waziri wa Ujenzi, Kasekenya akizungumza na watumishi wa Makao Makuu ya wizara hiyo kwenye manonesho hayo.
Mbunge wa Viti Maalumu, Olover Semuguruka akipata maelezo kutoka kwa afisa wa wizara hiyo, alipotembelea banda la Kanda ya Ziwa.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Rose  akitia saini kwenye kitabu cha kumbukumbuKanda
Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Mgaya akitembelea moja ya mabanda 

Vifaa vya kupimia udongo, kokoto na mchanga wa kujengea barabara vikioneshwa kwenye maonesho hayo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA-0754264203
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages