LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 31, 2024

MBUNGE LUGANGIRA AWAPATIA MAFUNZO YA UCHAGUZI WANAWAKE 96 BUKOBA MJINI




Mbunge wa Viti Maalumu, Neema Lugangira akitoa elimu na hamasa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa viongozi wanawake 96 wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) ngazi ya Tawi, Kata na Wilaya Bukoba Mjini na kuwakabidhi sare ya vitenge. Wamekubaliana kuhamasisha watu kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura na Wanawake kujitokeza kwa wingi kugombea.
 


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages