Mbunge wa Jimbo la Kawe, Josephat Gwajima akizungumza na Wananchi wa Shina namba 8, Mtaa wa Mbezi Beach A, Kawe jijini Dar es Salaam, alipotembelea mashina ya CCM katika jimbo hilo, leo. Pamoja na mambo mengine Gwajima aliahidi kushughulikia kero ya ubovu wa barabara katika shina hilo na kuelekeza wananchi wa eneo hilo kufungua akaunti kwa gharama yake kwa ajili ya kupatikana fedha za ujenzi wa barabara hizo.
Gwajima akizungumza jambo na Mwanachama wa Chadema Ndugu Monga ambaye alihudhuria mkutano huo. kulia ni mkazi wa eneo hilo Mzee Lusozi.
Gwajina akimzawadia Mjumbe wa Shina namba 6 Claudia Kimbe fulana ya CCM katika mkutano huo.
Gwajima akimpatia fomu maalum kwa ajili ya kushughulikia matatizo ya Wananchi Katibu wa Shina namba 8 Lucky Mwaipwelesi wakati wa mkutanbo huo.
Mwenyekiti wa Mtaa wa Mbezi Beachi A akijibu hoja iliyoulizwa na mwanachama wa Chadema ambaye ni Mjumbe wa Kamati ya Ulizni Shirikishoi Shina namba 8, hoja hiyo ilihusu mgawanyo wa maeneo ya mipaka ya ulinzi shirikishi.
Gwajima akifurahia nazi alizozawadiwa na Mjumbe Claudia.
Gwajima akiwa katika picha ya pamoja na viongozi na wananchi waliohudhuria mkutano huo.
Your Ad Spot
May 18, 2024
Home
featured
siasa
MBUNGE GWAJIMA AZUNGUMZA NA WANANCHI SHINA NAMBA NANE, MTAA WA MBEZI BEACH A, KAWE, JIJINI DAR ES SALAAM, EO
MBUNGE GWAJIMA AZUNGUMZA NA WANANCHI SHINA NAMBA NANE, MTAA WA MBEZI BEACH A, KAWE, JIJINI DAR ES SALAAM, EO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇