LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 15, 2024

MAKAMU WA RAIS AFANYA MAZUNGUMZO NA WAWAKILISHI WA UNHCR NA UNEP, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwakilishi Mkaazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) Mahoua Parum’s pamoja na Mwakilishi wa Shirika la Mazingira la Umoja wa Mataifa (UNEP) Clara Makenya, Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Mei 16, 2024.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages