LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 12, 2024

KINANA ALIPOSHUHUDIA TBC INAVYOHIFADHI HISTORIA YA MCHANGO WA TANZANIA KWA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA

 Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amefanya ziara katika Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).


Kinana amefanya ziara hiyo Kuona namna TBC inavyoendesha shughuli zake. Ametembelea maktaba inayohifadhi historia ya tanazania, harakati za ujenzi wa taifa, na mchango wa Tanzania kwa ukombozi wa Bara la Afrika.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages