Simba na Azam Fc zimebakisha mechi nne na ukomo wa points zao ni 69.
Yanga ana point 68 hadi sasa anahitaji points mbili tu kufikisha point 70.
Ambazo hakuna timu yeyote ligi kuu mwenye uwezo wa kufikisha.
Yanga akifanikisha kuchukua ubingwa huu utakuwa ubingwa wake wa 30 ligi kuu Tanzania Bara.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇