LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 20, 2024

DKT NCHIMBI ATUA RASMI RUVUMA

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt Emmanuel Nchimbi akivishwa skafu katika Ofisi za CCM Mkoa ikiwa ni ishara ya mapokezi  kwa Mkoa wa Ruvuma ambako ni nyumbani kwao.
Akikagua gwaride la Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Ruvuma.
Akiwapungia mkono makada na wananchi waliofika kumlaki.
Akiangalia ngoma maarufu ya Lizombe.ya kabila la Wangoni.
Akisalimiana na baadhi ya viongozi 


No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages