LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 29, 2024

WAZIRI KIKWETE AFUTURISHA VIONGOZI WA CCM CHALINZE

 



Maneno hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora Ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh. Ridhiwani Kikwete alipokuwa anazungumza na  viongozi wa Chama wa Halmashauri ya Chalinze alipowaalika kwenye Futari nyumbani kwake Msoga. 


Futari hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Chama wilayani hapo akiwepo Mwenyekiti wa CCM wilaya hiyo Ndg. Abdul sharif Zahor na wajumbe wa Halmashauri ya Wilaya kutoka kata zote za Jimbo la Chalinze ililenga kuwakutanisha viongozi wa wilaya ikiwa na malengo ya kuupokea mfungo wa mwezi wa Ramadhani, kuwaombea na kuwarehemu viongozi waliowahi kuongoza Wilaya hiyo na amani ya Wilaya hiyo na Wazee.






 

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages