Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema kuwa Mamlaka ya Hifadhi Tanzania (TANAPA) imefanikiwa kuzifanyia matengenezoBarabara zote za hifadhi zilizoharibiwa na mvua za Elnino.
Pamoja na mambo mengine , Matinyi ameyasema hayo katika mkutano wa vyombo vya habari jijini Dodoma Machi 10, 2024, ambapo baadhi ya maofisa wa TANAPA walihudhuria.
Baadhi maafisa wa TANAPA
Maafisa wa TANAP
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇