LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 9, 2024

CHONGOLO ATEULIWA MKUU WA MKOA WA SONGWE


 RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapimduzi (CCM), Komredi Daniel Chongolo kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe.

Uteuzi huo, umetangazwa leo kupitia Taarifa ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages