LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Mar 30, 2024

CHATANDA: NDANI YA CCM HAKUNA UKOMO, UZEE KUGOMBEA UONGOZI


 Nderemo, Vifijo na Shangwe za kila aina vilirindima kwenye ukumbi wa Kilimani jijini Dodoma, baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda kuwahakikishia wanawake kuwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), hakuja ukomo wala shangazi yake uzee katika kugombea ngazi mbalimbali za uongozi.


Tukio hilo lilitokea alipokuwa anafunga kongamano la UWT kuwajengea uwezo madiwani na viongozi wanawake wa UWT kutoka mikoa 11 nchini.IMEANDALIWA NA 

RICHARD MWAIKENDA 

MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 

0754264203

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages