LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Feb 1, 2024

WANAWAKE TUKO IMARA BILA KUTETELEKA TUTAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA-MSONGOZI


 Mbunge wa Viti Maalumu, Jacqueline Msongozi amewaomba iwepo sheria ya kuwakamata na kuwafunga wapambe wa wagombea uchaguzi pamoja na wagombea wenyewe watakaobainika kuwanyanyasa wanawake kijinsia wakati wa uchaguzi.


Ameyasema hayo alipochangia bungeni mjadala wa miswada mitatu ya uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na vyama vya siasa.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages