Baada ya kuona uhaba wa sukari unazidi nchini, Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, Deo Mwanyika akielezea uamuzi wa kamati hiyo kwenda kukagua viwanda vinavyozalisha sukari na kubaini changamoto zilizozidi viwango zinazovikabili viwanda hivyo hasa kutokana na maji ya mvua kujaa kwenye mashamba ya miwa, kiasi cha hata magari ya kusomba miwa kukwama na kushindwa kabisa kufika kwenye mashamba hayo, kiasi cha kusababisha uzalishaji wa bidhaa hiyo muhimu kusimama.
Mwanyika ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini jinsi hata wajumbe wa kamati hiyo walivyoshindwa kabisa kupenya kwenda kwenya mashamba hayo kutokana na barabara kuharibika.
IMEANDALIWA NARICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇