Shirika la Reli Tanzania (TRC) limeanza majaribio ya Treni ya ya kisasa inayotumia umeme (SGR) kutoka Dar es Salaam hadi Mkoa wa Pwani.
Imeelezwa kwamba baadaye majaribio hayo yatafanyika hadi mkoa wa Morogoro na huduma rasmi za Usafiri huo zinatarajiwa kuanza Julai, mwaka huu.
Treni hiyo ya kisasa ya umeme (SGR) ikipita eneo la Pugu Jijini Dar es Salaam, katika majaribio hayo. (Picha: Ikulu).

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇