Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania, Mary Chatanda ameipongeza Klabu ya Yanga kwa ushindi mkubwa iliyoupata wa magoli 4-0 dhidi ya AC Belouizdad ya Algeria katika mchezo wa Klabu BINGWA AFRIKA uliofanyika Jumamosi Februari 24, 2024 kwenye Simba la Benjamin Mkapa Dar.
Kwa ushindi huo YANGA imetinga moja kwa moja robo fainali ya michuano hiyo ikiwa na mechi moja mkononi dhidi Al AHLY ya Misri.

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇