LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 17, 2024

WAZIRI MKUU AFUNGUA CHUO KIKUU KATOLIKI MBEYA

  

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mtaalam wa Mifumo wa Chuo Kikuu cha Katoliki Mbeya Baker Tumaini kuhusu mfumo maalum wa kufundishia kwenye moja ya Darasa chuoni hapo, wakati wa ufunguzi wa Chuo hicho

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Katoliki Mbeya Prof. Romuald Haule wakati alipotembelea Maktaba ya chuoni hapo wakati wa ufunguzi wa Chuo hicho

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa pamoja na maaskofu wa Katoliki, wakuu wa vyuo na viongozi mbalimbali wa Serikali kwenye maandamano ya kitaaluma  wakati wa hafla ya ufunguzi wa Chuo hicho  Januari 16, 2024, mkoani Mbeya (Picha Na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages