LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 27, 2024

SHINDANO LA WABUNGE WAPENZI WA YANGA, SIMBA LA KULA UBWABWA MAHARAGE LAFANA AZANIA BUNGE BONANZA

 

Wabunge wanawake wapenzi wa Yanga na Simba na baadhi ya watumishi wa Bunge wakishindana kula ubwabwa maharage katika wakati wa Azania Bunge Bonanza kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Januari 27, 2024.Bonanza hilo lililofana limedhaniwa na Benki ya Azania.










Wabunge wanawake wapenzi wa Yanga na Simba na baadhi ya watumishi wa Bunge wakishindana kula ubwabwa maharage katika wakati wa Azania Bunge Bonanza kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma Januari 27, 2024. Bonanza hilo lililofana limedhaniwa na Benki ya Azania.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages