LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 19, 2024

UZOEFU MKUBWA ALIONAO DKT NCHIMBI UTAKISAIDIA CHAMA, TAIFA- KAWAWA

Mbunge wa Namtumbo, mkoani Ruvuma, Vita Kawawa  amewataka watanzania kumuamini Katibu Mkuu mpya wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi kwani ana uzoefu mkubwa ndani ya chama, serikali pamoja na siasa za kimataifa.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages