LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 17, 2024

SAMATTA TUMEJIANDAA VYEMA KUIKABILI MOROCCO AFCON


                             Nahodha wa Taifa stars Tanzania Mbwana Samatta

Kuelekea mchezo wa Tanzania na Morocco hii leo Jumatano utakao pigwa saa 2 usiku kwa saa za Afrika Mashariki, nahodha wa Timu ya Taifa stars ya Tanzania Mbwana Samatta na kocha Adel Adel Amrouche wameelezea jinsi kikosi kilivyojiandaa kushuka dimbani ambapo wamewahakikishia Watanzania na Afrika Mashariki watafanya vizuri katika mtanange huo.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages