LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 27, 2024

CDE MWAJABU MBWAMBO ATOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI

Mwenyekiti Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mkoa Dar es Salaam Cde Mwajabu R Mbwambo, jana Ijumaa Kanuari 26, 2024,  Alifika kutoa pole na salam za rambirambi kwa Mbunge wa viti Maalumu Mkoa Dar es Salaam Mh. Janeth Masaburi, nyumbani kwake Segerea kwa kufiwa na Mama yake mzazi. 

Katika msiba huo Katibu Mkuu CCM Dk. Emmanuel Nchimbi naye alijumuika na viongozi wa Chama, Uwt ngazi mbalimbali kutoa salamu za Rambirambi.


UWT Imara

Jeshi la Mama Samia

Kazi Iendelee

Cde Mwajabu Mbwambo

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages