LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 15, 2024

KATAMBI AAHIDI NDANI YA SIKU 60 KUPATA UTATUZI WA KERO ZA WAFANYAKAZI TALGWU

Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vija na Wenye Ulemavu, Patrobas Katambi (katika) akishiriki kuimba wimbo wa mshikamo wakati wa ufunguzi wa kikao xcha Baraza Kuu la Chama Cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU)  jijini Dodoma Januari 5, 2024. Kushoto ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Rashid Mtima na Mwenyekiti wa TALGWU Taifa, Tumaini Nyamhokya.
Wajumbe aw baraza hilo wakiimba wimbo huo

Katibu Mkuu wa TALGWU, Mtima akisoma risala ya chama chao

Katambi akihutubia wakati wa kikao hicho na hatimaye kukifungua rasmi


Nyamhokya akitoa neno la kumkaribisha Naibu Waziri Katambi kuhutubia.
Wajumbe wa Baraza hilo wakisikiliza kwa makini







Baadhi ya viongozi wastaafu wa TALGWU






IMEANDALIWA NA
 RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages