LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 24, 2024

GULAMALI AONGOZA KUHAMASISHA WABUNGE KUJISAJILI, KUISHA KADI ZA YANGA BUNGENI


 Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Klabu ya Yanga, Seif Gulamali ameongoza kuhamasisha wabunge kujitokeza kwa wingi kujisaliji uanachama  na kuhuisha kadi za uanachama na mashabiki katika mchakato unaoendelea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Gulamali ni Mwenyekiti wa Tawi la Yanga bungeni.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages