LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 9, 2024

CHATANDA AMPONGEZA RAIS SAMIA KWA UJASIRI, BILA KUOGOPA KURUHUSU MISWADA YA SHERIA ZA UCHAGUZI

Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT),  Mary Chatanda akiwasilisha maoni na ushauri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria cha kukusanya maoni kuhusu Miswada ya marekebisho ya sheria  ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sheria mbalimbali kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma Januari 9,2024.


Aidha amechukua fursa hiyo kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujasiri wake tena bila kuogopa kuruhusu marekebisho ya sheria hizo.


Chatanda akiwa katika kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt Joseph Mhagama.
Baadhi ya WanaCCM waliomsindikiza  Chatanda wakiwa katika kikao 
Baadhi ya wabunge wakiwemo wajumbe wa kamati hiyo wakisikiliza wakati Chatanda akiwasilisha maoni na ushauri wa 

Chatanda akiwa na wanaCCM pamoja na wabunge 


Chatanda akiwa na baadhi ya wanafunzi wa vyuo walioshiriki kutoa maoni

Chatanda akiwa na baadhi ya wabunge wanawake

Chatanda akiwa na baadhi ya madiwani wanawake


Mdau nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Chatanda akiwasilisha maoni hayo

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages