LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 8, 2023

UWT YAZIDI KUMWAGA MISAADA KWA WATHIRIKA HANANG





 Katesh- Hanang

Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada   kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu waliopata majanga.


Akizungumza  Mara baada ya kukabidhi  Misaada  hiyo  Mwenyekiti Chatanda  amesema  msaada huo ni Muendelezo wa  ahadi waliyotoa Kusaidia watu waliopatwa na Maafa ya Mafuriko  Hanang kama Mashuka 2000 ,Khanga 400,balo za Nguo,taulo za kike ,Shuka za Kimasai ,Vikombe 1440  na Vifaa mbalimbali. 


" Mimi kama Mwenyekiti wa wanawake Tanzania kwa Kushirikiana na Makamu wangu na  wanawake wote tutaendelea kuleta misaada mbalimbali ili kuweza kuwafariji  wananchi wetu wa Manyara.

#UwtImara#JeshiLaMama#KaziIendele

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages